Mwanzo 19:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC23 Jua lilikuwa limechomoza juu ya nchi Lutu alipoingia Soari. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Jua lilikuwa limekwisha chomoza wakati Loti alipowasili mjini Soari. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Jua lilikuwa limekwisha chomoza wakati Loti alipowasili mjini Soari. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Jua lilikuwa limekwisha chomoza wakati Loti alipowasili mjini Soari. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Lutu alipofika Soari, jua lilikuwa limechomoza katika nchi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Wakati Lutu alipofika Soari, jua lilikuwa limechomoza katika nchi. Tazama sura |