Mwanzo 19:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 maana tutapaharibu mahali hapa, kwa kuwa kilio chake kimezidi mbele za BWANA; naye BWANA ametutuma tupaharibu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 kwa maana kilio kilichomfikia Mwenyezi-Mungu dhidi ya wakazi wa hapa ni kikubwa mno, naye ametutuma tuje kuwaangamiza.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 kwa maana kilio kilichomfikia Mwenyezi-Mungu dhidi ya wakazi wa hapa ni kikubwa mno, naye ametutuma tuje kuwaangamiza.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 kwa maana kilio kilichomfikia Mwenyezi-Mungu dhidi ya wakazi wa hapa ni kikubwa mno, naye ametutuma tuje kuwaangamiza.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 kwa sababu tunapaangamiza mahali hapa. Kilio kwa Mwenyezi Mungu dhidi ya watu wa hapa ni kikubwa kiasi kwamba ametutuma kupaangamiza.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 kwa sababu tunapaangamiza mahali hapa. Kilio kwa bwana dhidi ya watu wa hapa ni kikubwa kiasi kwamba ametutuma kupaangamiza.” Tazama sura |