Mwanzo 18:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Wakamwambia, Yu wapi Sara mkeo? Akasema, Yumo hemani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Wale wageni wakamwuliza, “Mkeo Sara yuko wapi?” Abrahamu akawajibu, “Yumo hemani.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Wale wageni wakamwuliza, “Mkeo Sara yuko wapi?” Abrahamu akawajibu, “Yumo hemani.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Wale wageni wakamwuliza, “Mkeo Sara yuko wapi?” Abrahamu akawajibu, “Yumo hemani.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Wakamuuliza, “Yuko wapi Sara mkeo?” Akasema, “Yuko ndani ya hema.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Wakamuuliza, “Yuko wapi Sara mkeo?” Akasema, “Yuko huko, ndani ya hema.” Tazama sura |