Mwanzo 18:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC27 Abrahamu akajibu, akasema, Basi, nimeshika kusema na Bwana, nami ni mavumbi na majivu tu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Abrahamu akasema, “Nimethubutu kuzungumza na Bwana, mimi niliye mavumbi na majivu tu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Abrahamu akasema, “Nimethubutu kuzungumza na Bwana, mimi niliye mavumbi na majivu tu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Abrahamu akasema, “Nimethubutu kuzungumza na Bwana, mimi niliye mavumbi na majivu tu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Kisha Ibrahimu akasema tena: “Sasa kwa kuwa nimekuwa na ujasiri wa kuzungumza na Bwana, ingawa mimi si kitu bali ni mavumbi na majivu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Kisha Ibrahimu akasema tena: “Sasa kwa kuwa nimekuwa na ujasiri wa kuzungumza na Bwana, ingawa mimi si kitu bali ni mavumbi na majivu; Tazama sura |