Mwanzo 18:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC23 Abrahamu akakaribia, akasema, Je! Utaharibu mwenye haki pamoja na mwovu? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Basi, Abrahamu akamkaribia Mwenyezi-Mungu, akamwuliza, “Je, kweli utawaangamiza watu wema pamoja na waovu? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Basi, Abrahamu akamkaribia Mwenyezi-Mungu, akamwuliza, “Je, kweli utawaangamiza watu wema pamoja na waovu? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Basi, Abrahamu akamkaribia Mwenyezi-Mungu, akamwuliza, “Je, kweli utawaangamiza watu wema pamoja na waovu? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Ibrahimu akamsogelea, akasema: “Je, utawaangamiza wenye haki na waovu? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Ndipo Ibrahimu akamsogelea akasema: “Je, utawaangamiza wenye haki na waovu? Tazama sura |