Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 18:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

17 BWANA akasema, Je! Nimfiche Abrahamu jambo ambalo ninataka kulifanya,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Basi, Mwenyezi-Mungu akawaza: Je, nimfiche Abrahamu jambo ambalo nimepanga kutenda?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Basi, Mwenyezi-Mungu akawaza: Je, nimfiche Abrahamu jambo ambalo nimepanga kutenda?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Basi, Mwenyezi-Mungu akawaza: Je, nimfiche Abrahamu jambo ambalo nimepanga kutenda?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Ndipo Mwenyezi Mungu akasema, “Je, nimfiche Ibrahimu jambo ninalokusudia kufanya?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Ndipo bwana akasema, “Je, nimfiche Ibrahimu jambo ninalokusudia kufanya?

Tazama sura Nakili




Mwanzo 18:17
10 Marejeleo ya Msalaba  

basi, nitashuka sasa nione kama wanayotenda ni kiasi cha kilio kilichonijia; na kama sivyo, nitajua.


Basi wale watu wakatoka huko wakaelekea Sodoma; lakini Abrahamu alibaki amesimama mbele za BWANA.


BWANA akasema, Nikiona katika Sodoma wenye haki hamsini mjini, nitapaacha mahali pote kwa ajili yao.


Ndipo BWANA akanyesha juu ya Sodoma na juu ya Gomora kiberiti na moto kutoka mbinguni kwa BWANA.


Naye alipofika kwa yule mtu wa Mungu kilimani, alimshika miguu. Gehazi akakaribia amwondoe; lakini mtu wa Mungu akamwambia, Mwache; maana roho yake ndani yake ina uchungu; na BWANA amenificha, wala hakuniambia.


Si wewe, Ee Mungu wetu, uliyewafukuza wenyeji wa nchi hii mbele ya watu wako Israeli, ukawapa wazao wa Abrahamu rafiki yako hata milele?


Siri ya BWANA iko kwao wamchao, Naye atawajulisha agano lake.


Hakika Bwana MUNGU hatafanya neno lolote, bila kuwafunulia watumishi wake manabii siri yake.


Siwaiti tena watumwa; kwa maana mtumwa hajui atendalo bwana wake; lakini ninyi nimewaita rafiki; kwa kuwa yote niliyoyasikia kwa Baba yangu nimewaarifu.


Maandiko yale yakatimizwa yaliyonena, Abrahamu alimwamini Mungu, ikahesabiwa kwake kuwa ni haki; naye aliitwa rafiki wa Mungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo