Mwanzo 18:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Akakana Sara, akisema, Sikucheka, maana aliogopa. Naye akasema, Sivyo! Umecheka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Lakini Sara, akiwa na hofu, akakana akisema, “Sikucheka!” Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Sivyo! Kucheka, ulicheka.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Lakini Sara, akiwa na hofu, akakana akisema, “Sikucheka!” Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Sivyo! Kucheka, ulicheka.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Lakini Sara, akiwa na hofu, akakana akisema, “Sikucheka!” Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Sivyo! Kucheka, ulicheka.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Sara akaogopa, hivyo akadanganya na kusema, “Mimi sikucheka.” Lakini Mwenyezi Mungu akasema, “Ndiyo, ulicheka!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Sara akaogopa kwa kuwa alidanganya na kusema, “Mimi sikucheka.” Lakini Bwana akasema, “Ndiyo, ulicheka!” Tazama sura |