Mwanzo 17:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Nitakufanya uwe na uzao mwingi sana, nami nitakufanya kuwa mataifa, na wafalme watatoka kwako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Nitakufanya uwe na wazawa wengi sana; kwako nitazusha mataifa mengi na wafalme. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Nitakufanya uwe na wazawa wengi sana; kwako nitazusha mataifa mengi na wafalme. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Nitakufanya uwe na wazawa wengi sana; kwako nitazusha mataifa mengi na wafalme. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Nitakufanya uwe na uzao mwingi sana; kwako yatatoka mataifa, na wafalme watatoka kwako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Nitakufanya uwe na uzao mwingi sana, kwako yatatoka mataifa nao wafalme watatoka kwako. Tazama sura |