Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mwanzo 17:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

27 Na watu wote wa nyumba yake, wazaliwa nyumbani, na wanunuliwa kwa fedha katika mkono wa mgeni, wakatahiriwa pamoja naye.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 pamoja na wanaume wote wa nyumba yake, watumwa wote waliozaliwa nyumbani mwake na walionunuliwa kwa fedha zake walitahiriwa siku hiyohiyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 pamoja na wanaume wote wa nyumba yake, watumwa wote waliozaliwa nyumbani mwake na walionunuliwa kwa fedha zake walitahiriwa siku hiyohiyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 pamoja na wanaume wote wa nyumba yake, watumwa wote waliozaliwa nyumbani mwake na walionunuliwa kwa fedha zake walitahiriwa siku hiyohiyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 Wanaume wote nyumbani mwa Ibrahimu, waliozaliwa nyumbani mwake na walionunuliwa kwa fedha kutoka kwa wageni, walitahiriwa pamoja naye.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 Kila mwanaume nyumbani mwa Ibrahimu, pamoja na wote waliozaliwa nyumbani mwake au aliyenunuliwa kwa fedha kutoka kwa mgeni, alitahiriwa pamoja naye.

Tazama sura Nakili

Mwanzo 17:27
4 Marejeleo ya Msalaba  

Abramu aliposikia ya kwamba nduguye amechukuliwa mateka, akawapa silaha vijana wake, waliozaliwa katika nyumba yake, watu mia tatu na kumi na wanane, akawafuata mpaka Dani.

Hili ndilo agano langu utakalolishika, kati yangu nawe, na uzao wako, Kila mwanamume wa kwenu atatahiriwa.

Siku ile ile akatahiriwa Abrahamu na Ishmaeli mwanawe.

Kwa maana nimemchagua ili awaamuru wanawe na vizazi vyake baada yake wadumishe njia ya BWANA, kwa kuwa wenye haki na kweli, ili BWANA naye akamtimizie Abrahamu ahadi zake.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo