Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 17:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

24 Naye Abrahamu alikuwa mwenye umri wa miaka tisini na tisa alipotahiriwa nyama ya govi lake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Abrahamu alikuwa na umri wa miaka 99 alipotahiriwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Abrahamu alikuwa na umri wa miaka 99 alipotahiriwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Abrahamu alikuwa na umri wa miaka 99 alipotahiriwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Ibrahimu alikuwa na umri wa miaka tisini na tisa alipotahiriwa;

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Ibrahimu alikuwa na umri wa miaka tisini na tisa alipotahiriwa,

Tazama sura Nakili




Mwanzo 17:24
8 Marejeleo ya Msalaba  

Basi Abramu akaenda, kama BWANA alivyomwamuru; Lutu akaenda pamoja naye. Naye Abramu alikuwa mtu wa miaka sabini na mitano alipotoka Harani.


Abramu alipokuwa mtu wa miaka tisini na tisa, BWANA akamtokea Abramu, akamwambia, Mimi ni Mungu Mwenyezi, uende mbele yangu, ukawe mkamilifu.


Mtatahiriwa nyama ya magovi yenu, na jambo hilo litakuwa ishara ya agano kati ya mimi na ninyi.


Ndipo Abrahamu akaanguka kifudifudi akacheka, akasema moyoni, Je! Mtu wa umri wa miaka mia moja, kwake atazaliwa mtoto? Naye Sara mwenye umri wa miaka tisini atazaa?


Basi Abrahamu na Sara walikuwa wazee wenye umri mkubwa, na Sara alikuwa amekoma katika desturi ya wanawake.


Naye Abrahamu alikuwa mtu wa miaka mia moja, alipozaliwa mwana wake Isaka.


Naye aliipokea dalili hii ya kutahiriwa, mhuri wa ile haki ya imani aliyokuwa nayo kabla hajatahiriwa; apate kuwa baba yao wote waaminio, ijapokuwa hawakutahiriwa, ili na wao pia wahesabiwe haki;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo