Mwanzo 17:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Abrahamu akamwambia Mungu, Lau kwamba Ishmaeli angeishi mbele yako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Basi, Abrahamu akamwambia Mungu, “Laiti ungekubali ahadi yako hiyo imhusu Ishmaeli.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Basi, Abrahamu akamwambia Mungu, “Laiti ungekubali ahadi yako hiyo imhusu Ishmaeli.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Basi, Abrahamu akamwambia Mungu, “Laiti ungekubali ahadi yako hiyo imhusu Ishmaeli.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Ibrahimu akamwambia Mungu, “Laiti Ishmaeli naye angeshiriki baraka yako!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Ibrahimu akamwambia Mungu, “Laiti Ishmaeli naye angeshiriki baraka yako!” Tazama sura |