Mwanzo 17:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Na mwanamume mwenye govi asiyetahiriwa nyama ya govi lake, mtu yule atatengwa na watu wake; amelivunja agano langu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Mwanamume yeyote asiyetahiriwa atatengwa na watu, kwani atakuwa amevunja agano langu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Mwanamume yeyote asiyetahiriwa atatengwa na watu, kwani atakuwa amevunja agano langu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Mwanamume yeyote asiyetahiriwa atatengwa na watu, kwani atakuwa amevunja agano langu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Kila mwanaume asiyetahiriwa, ambaye hajapata tohara ya mwilini, atatengwa na watu wake; amelivunja agano langu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Kila mwanaume asiyetahiriwa, ambaye hajapata tohara ya mwilini, atatengwa na watu wake, amelivunja Agano langu.” Tazama sura |