Mwanzo 16:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Malaika wa BWANA akamwambia, Rudi kwa bimkubwa wako, ukanyenyekee chini ya mikono yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Yule malaika wa Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Rudi kwa bimkubwa wako Sarai na umtii.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Yule malaika wa Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Rudi kwa bimkubwa wako Sarai na umtii.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Yule malaika wa Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Rudi kwa bimkubwa wako Sarai na umtii.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Ndipo malaika wa Mwenyezi Mungu akamwambia, “Rudi kwa bibi yako ukajishushe chini yake.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Ndipo malaika wa bwana akamwambia, “Rudi kwa bibi yako ukajishushe chini yake.” Tazama sura |