Mwanzo 16:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Hajiri akamzalia Abramu mwana wa kiume; Abramu akamwita jina lake Ishmaeli, yule mwanawe, ambaye Hajiri alimzaa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Hagari akamzalia Abramu mtoto wa kiume. Abramu akamwita mtoto huyo Ishmaeli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Hagari akamzalia Abramu mtoto wa kiume. Abramu akamwita mtoto huyo Ishmaeli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Hagari akamzalia Abramu mtoto wa kiume. Abramu akamwita mtoto huyo Ishmaeli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Hivyo Hajiri akamzalia Abramu mwana, naye Abramu akamwita huyo mwana Hajiri aliyemzalia jina la Ishmaeli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Hivyo Hagari akamzalia Abramu mwana, naye Abramu akamwita huyo mwana Hagari aliyemzalia, Ishmaeli. Tazama sura |