Mwanzo 15:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Kisha akamwambia, Mimi ni BWANA, niliyekuleta kutoka Uru wa Wakaldayo nikupe nchi hii ili uimiliki. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Mwenyezi-Mungu akamwambia Abramu, “Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu niliyekuleta toka Uri, mji wa Wakaldayo, ili nikupe nchi hii uimiliki.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Mwenyezi-Mungu akamwambia Abramu, “Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu niliyekuleta toka Uri, mji wa Wakaldayo, ili nikupe nchi hii uimiliki.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Mwenyezi-Mungu akamwambia Abramu, “Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu niliyekuleta toka Uri, mji wa Wakaldayo, ili nikupe nchi hii uimiliki.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Pia akamwambia, “Mimi ndimi Mwenyezi Mungu, niliyekutoa Uru ya Wakaldayo nikupe nchi hii uimiliki.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Pia akamwambia, “Mimi ndimi bwana, niliyekutoa toka Uru ya Wakaldayo nikupe nchi hii uimiliki.” Tazama sura |