Mwanzo 15:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Abramu akasema, Tazama, hukunipa uzao, na mtumwa aliyezaliwa nyumbani mwangu ndiye mrithi wangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Tazama! Hujanijalia mtoto; mtumwa aliyezaliwa nyumbani mwangu ndiye atakayekuwa mrithi wangu!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Tazama! Hujanijalia mtoto; mtumwa aliyezaliwa nyumbani mwangu ndiye atakayekuwa mrithi wangu!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Tazama! Hujanijalia mtoto; mtumwa aliyezaliwa nyumbani mwangu ndiye atakayekuwa mrithi wangu!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Abramu akasema, “Hukunipa watoto, hivyo mtumishi katika nyumba yangu ndiye atakuwa mrithi wangu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Abramu akasema, “Hukunipa watoto, hivyo mtumishi katika nyumba yangu ndiye atakuwa mrithi wangu.” Tazama sura |