Mwanzo 15:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Hata na taifa lile, watakaowatumikia, nitawahukumu; baadaye watatoka na mali nyingi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Hata hivyo, nitaliadhibu taifa watakalolitumikia, na hatimaye watatoka wakiwa na mali nyingi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Hata hivyo, nitaliadhibu taifa watakalolitumikia, na hatimaye watatoka wakiwa na mali nyingi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Hata hivyo, nitaliadhibu taifa watakalolitumikia, na hatimaye watatoka wakiwa na mali nyingi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Lakini nitaliadhibu taifa lile watakalolitumikia kama watumwa, na baadaye watatoka huko na mali nyingi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Lakini nitaliadhibu taifa lile watakalolitumikia kama watumwa, na baadaye watatoka huko na mali nyingi. Tazama sura |