Mwanzo 15:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Na jua lilipokuwa likichwa usingizi mzito ulimshika Abramu, hofu ya giza kuu ikamwangukia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Jua lilipokuwa likitua, Abramu alishikwa na usingizi mzito; hofu na giza nene vikamfunika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Jua lilipokuwa likitua, Abramu alishikwa na usingizi mzito; hofu na giza nene vikamfunika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Jua lilipokuwa likitua, Abramu alishikwa na usingizi mzito; hofu na giza nene vikamfunika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Jua lilipokuwa linatua, Abramu akashikwa na usingizi mzito, na giza nene na la kutisha likaja juu yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Wakati jua lilipokuwa linatua, Abramu akashikwa na usingizi mzito, giza nene na la kutisha likaja juu yake. Tazama sura |