Mwanzo 13:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Abramu akakaa katika nchi ya Kanaani, na Lutu akakaa katika miji ya lile Bonde; akajongeza hema yake mpaka Sodoma. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Abramu akabaki nchini Kanaani na Loti akakaa kati ya miji iliyokuwa bondeni, akahamishia kambi yake Sodoma. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Abramu akabaki nchini Kanaani na Loti akakaa kati ya miji iliyokuwa bondeni, akahamishia kambi yake Sodoma. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Abramu akabaki nchini Kanaani na Loti akakaa kati ya miji iliyokuwa bondeni, akahamishia kambi yake Sodoma. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Abramu aliishi nchi ya Kanaani, naye Lutu akaishi miongoni mwa miji ya lile bonde na kupiga mahema yake karibu na Sodoma. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Abramu akaishi katika nchi ya Kanaani, wakati Lutu aliishi miongoni mwa miji ya lile bonde na kupiga mahema yake karibu na Sodoma. Tazama sura |