Mwanzo 12:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Farao akawaagiza watu kwa ajili yake, wakampeleka njiani, na mkewe, na kila alichokuwa nacho. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Kisha Farao aliwaamuru watu wake, nao wakamsindikiza Abramu njiani akiwa na mke wake na mali yake yote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Kisha Farao aliwaamuru watu wake, nao wakamsindikiza Abramu njiani akiwa na mke wake na mali yake yote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Kisha Farao aliwaamuru watu wake, nao wakamsindikiza Abramu njiani akiwa na mke wake na mali yake yote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Kisha Farao akawapa watu wake amri kuhusu Abramu, wakamsindikiza pamoja na mke wake na kila alichokuwa nacho. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Kisha Farao akawapa watu wake amri kuhusu Abramu, wakamsindikiza pamoja na mke wake na kila alichokuwa nacho. Tazama sura |