Mwanzo 12:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Ikawa alipokuwa karibu kuingia Misri, akamwambia Sarai mkewe, Tazama, najua ya kuwa u mwanamke mzuri wa uso; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Alipokaribia Misri, Abramu alimwambia Sarai mkewe, “Najua kuwa wewe ni mwanamke mzuri na wa kuvutia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Alipokaribia Misri, Abramu alimwambia Sarai mkewe, “Najua kuwa wewe ni mwanamke mzuri na wa kuvutia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Alipokaribia Misri, Abramu alimwambia Sarai mkewe, “Najua kuwa wewe ni mwanamke mzuri na wa kuvutia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Alipokaribia kuingia Misri, akamwambia Sarai mkewe, “Ninajua kwamba wewe ni mwanamke mzuri wa sura. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Alipokuwa karibu kuingia Misri, akamwambia Sarai mkewe, “Ninajua ya kwamba wewe ni mwanamke mzuri wa sura. Tazama sura |