Mwanzo 11:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Kwa sababu hiyo jina lake likaitwa Babeli; maana hapo ndipo BWANA alipoichafua lugha ya dunia yote; na kutoka huko BWANA akawatawanya waende usoni pa nchi yote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Mji huo ukaitwa Babeli, kwa sababu huko ndiko Mwenyezi-Mungu alikoivuruga lugha ya dunia yote, na kutoka huko akawatawanya watu kila mahali duniani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Mji huo ukaitwa Babeli, kwa sababu huko ndiko Mwenyezi-Mungu alikoivuruga lugha ya dunia yote, na kutoka huko akawatawanya watu kila mahali duniani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Mji huo ukaitwa Babeli, kwa sababu huko ndiko Mwenyezi-Mungu alikoivuruga lugha ya dunia yote, na kutoka huko akawatawanya watu kila mahali duniani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Ndiyo maana pakaitwa Babeli, kwa sababu hapo ndipo Mwenyezi Mungu alipoivuruga lugha ya dunia nzima. Kutoka hapo Mwenyezi Mungu akawatawanya duniani kote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Ndiyo maana pakaitwa Babeli, kwa sababu hapo ndipo bwana alipoivuruga lugha ya dunia nzima. Kutoka hapo bwana akawatawanya katika uso wa dunia yote. Tazama sura |