Mwanzo 11:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC23 Serugi akaishi baada ya kumzaa Nahori miaka mia mbili, akazaa wana, wa kiume na wa kike. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Baada ya kumzaa Nahori, Serugi aliishi miaka 200 na kupata watoto wengine wa kiume na wa kike. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Baada ya kumzaa Nahori, Serugi aliishi miaka 200 na kupata watoto wengine wa kiume na wa kike. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Baada ya kumzaa Nahori, Serugi aliishi miaka 200 na kupata watoto wengine wa kiume na wa kike. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Baada ya kumzaa Nahori, Serugi aliishi miaka mia mbili, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Baada ya Serugi kumzaa Nahori, aliishi miaka 200, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike. Tazama sura |