Mwanzo 11:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Ikawa watu waliposafiri pande za mashariki waliona nchi tambarare katika nchi ya Shinari; wakakaa huko. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Basi, ikawa watu waliposafirisafiri kutoka mashariki, walifika katika nchi tambarare huko Shinari, wakakaa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Basi, ikawa watu waliposafirisafiri kutoka mashariki, walifika katika nchi tambarare huko Shinari, wakakaa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Basi, ikawa watu waliposafirisafiri kutoka mashariki, walifika katika nchi tambarare huko Shinari, wakakaa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Watu walipoelekea upande wa mashariki, wakafika kwenye tambarare katika nchi ya Shinari, nao wakaishi huko. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Watu walipoelekea upande wa mashariki, wakafika kwenye tambarare katika nchi ya Shinari nao wakaishi huko. Tazama sura |