Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mwanzo 11:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

18 Pelegi akaishi miaka thelathini, akamzaa Reu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Pelegi alipokuwa na umri wa miaka 30, alimzaa Reu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Pelegi alipokuwa na umri wa miaka 30, alimzaa Reu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Pelegi alipokuwa na umri wa miaka 30, alimzaa Reu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Pelegi alipokuwa ameishi miaka thelathini, akamzaa Reu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Pelegi alipokuwa na miaka thelathini, akamzaa Reu.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 11:18
3 Marejeleo ya Msalaba  

Eberi akaishi baada ya kumzaa Pelegi miaka mia nne na thelathini, akazaa wana, wa kiume na wa kike.


Pelegi akaishi baada ya kumzaa Reu miaka mia mbili na tisa, akazaa wana, wa kiume na wa kike.


wa Serugi, wa Regau, wa Pelegi, wa Eberi, wa Sala,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo