Mwanzo 11:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Eberi akaishi miaka thelathini na minne, akamzaa Pelegi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Eberi alipokuwa na umri wa miaka 34, alimzaa Pelegi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Eberi alipokuwa na umri wa miaka 34, alimzaa Pelegi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Eberi alipokuwa na umri wa miaka 34, alimzaa Pelegi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Eberi alipokuwa ameishi miaka thelathini na nne, akamzaa Pelegi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Eberi alipokuwa na miaka thelathini na minne, akamzaa Pelegi. Tazama sura |