Mwanzo 11:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Sela akaishi baada ya kumzaa Eberi miaka mia nne na mitatu, akazaa wana, wa kiume na wa kike. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Baada ya kumzaa Eberi, Shela aliishi miaka 403 na kupata watoto wengine wa kiume na wa kike. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Baada ya kumzaa Eberi, Shela aliishi miaka 403 na kupata watoto wengine wa kiume na wa kike. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Baada ya kumzaa Eberi, Shela aliishi miaka 403 na kupata watoto wengine wa kiume na wa kike. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Baada ya kumzaa Eberi, Shela aliishi miaka mia nne na tatu (403), akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Shela baada ya kumzaa Eberi, aliishi miaka 403, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike. Tazama sura |