Mwanzo 10:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Kushi akamzaa Nimrodi, akaanza kuwa mtu hodari katika nchi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Kushi alikuwa baba yake Nimrodi ambaye alikuwa shujaa wa kwanza duniani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Kushi alikuwa baba yake Nimrodi ambaye alikuwa shujaa wa kwanza duniani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Kushi alikuwa baba yake Nimrodi ambaye alikuwa shujaa wa kwanza duniani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Kushi akamzaa Nimrodi, ambaye alikua akawa shujaa mwenye nguvu duniani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Kushi akamzaa Nimrodi, ambaye alikua akawa mtu shujaa duniani. Tazama sura |