Mwanzo 1:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC22 Mungu akavibarikia, akisema, Zaeni, mkaongezeke, mkayajaze maji ya baharini, ndege na wazidi katika nchi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Mungu akavibariki, akasema, “Zaeni, muongezeke, muyajaze maji ya bahari; nao ndege waongezeke katika nchi.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Mungu akavibariki, akasema, “Zaeni, muongezeke, muyajaze maji ya bahari; nao ndege waongezeke katika nchi.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Mungu akavibariki, akasema, “Zaeni, muongezeke, muyajaze maji ya bahari; nao ndege waongezeke katika nchi.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Mungu akavibariki, akasema, “Zaeni mwongezeke, mkayajaze maji ya bahari, nao ndege waongezeke katika dunia.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Mwenyezi Mungu akavibariki, akasema, “Zaeni mwongezeke, mkayajaze maji ya bahari, nao ndege waongezeke katika dunia.” Tazama sura |