Mwanzo 1:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Mungu akasema, Nchi na itoe majani, mimea itoayo mbegu, na miti ya matunda izaayo matunda kwa jinsi yake, ambao mbegu zake zimo ndani yake, juu ya nchi; ikawa hivyo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Kisha Mungu akasema, “Nchi na ioteshe mimea. Mimea izaayo mbegu, na miti izaayo matunda yenye mbegu.” Ikawa hivyo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Kisha Mungu akasema, “Nchi na ioteshe mimea. Mimea izaayo mbegu, na miti izaayo matunda yenye mbegu.” Ikawa hivyo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Kisha Mungu akasema, “Nchi na ioteshe mimea: mimea izaayo mbegu, na miti izaayo matunda yenye mbegu.” Ikawa hivyo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Kisha Mungu akasema, “Ardhi na itoe mimea: miche itoayo mbegu, miti juu ya nchi itoayo matunda yenye mbegu ndani yake, kila mmea kulingana na aina zake mbalimbali.” Ikawa hivyo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Kisha Mwenyezi Mungu akasema, “Ardhi na itoe mimea: miche itoayo mbegu, miti juu ya nchi itoayo matunda yenye mbegu ndani yake, kila mmea kulingana na aina zake mbalimbali.” Ikawa hivyo. Tazama sura |