Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mika 7:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

15 Kama katika siku zile za kutoka kwako katika nchi ya Misri nitamwonesha mambo ya ajabu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Kama wakati ulipotutoa nchini Misri, utuoneshe tena maajabu yako.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Kama wakati ulipotutoa nchini Misri, utuoneshe tena maajabu yako.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Kama wakati ulipotutoa nchini Misri, utuoneshe tena maajabu yako.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 “Kama siku zile mlipotoka Misri, nitawaonesha maajabu yangu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 “Kama siku zile mlipotoka Misri, nitawaonyesha maajabu yangu.”

Tazama sura Nakili




Mika 7:15
9 Marejeleo ya Msalaba  

Bwana alisema, Kutoka Bashani nitawarudisha, Nitawarudisha kutoka vilindi vya bahari;


Nami nitaunyosha mkono wangu, na kuipiga Misri kwa ajabu zangu zote, nitakazofanya kati yake, kisha baadaye atawapa ruhusa kwenda.


Akasema, Tazama, nafanya agano; mbele ya watu wangu wote nitatenda miujiza, ya namna isiyotendeka katika dunia yote, wala katika taifa lolote; na watu wote ambao unakaa kati yao wataona kazi ya BWANA, kwa maana ni neno la kutisha nikutendalo.


Itakuwako njia kuu kwa mabaki ya watu wake watakaobaki, watokao Ashuru, kama vile ilivyokuwako kwa Israeli, katika siku ile waliyotoka katika nchi ya Misri.


Si wewe uliyemkatakata Rahabu? Uliyemchoma yule joka? Si wewe uliyeikausha bahari, Na maji ya vilindi vikuu; Uliyevifanya vilindi kuwa njia, Ili wapite watu waliokombolewa?


Amka, amka, jivike nguvu, Ee mkono wa Bwana; Amka kama katika siku zile za kale, Katika vizazi vile vya zamani.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo