Mika 5:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Nami nitajilipiza kisasi katika hasira na ghadhabu kwa mataifa yasiyonitii. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Kwa hasira na ghadhabu yangu, nitalipiza kisasi mataifa yote yasiyonitii.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Kwa hasira na ghadhabu yangu, nitalipiza kisasi mataifa yote yasiyonitii.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Nitalipiza kisasi kwa hasira na ghadhabu, kwa mataifa ambayo hayajanitii.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Nitalipiza kisasi kwa hasira na ghadhabu juu ya mataifa ambayo hayajanitii.” Tazama sura |