Mika 3:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Bali mimi, hakika nimejaa nguvu kwa Roho ya BWANA; nimejaa hukumu na uwezo; nimhubirie Yakobo kosa lake, na Israeli dhambi yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Lakini kwa upande wangu, nimejazwa nguvu na roho ya Mwenyezi-Mungu; nimejaliwa kujua haki na kuwa na uwezo niwatangazie wazawa wa Yakobo kosa lao, niwaambie Waisraeli dhambi yao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Lakini kwa upande wangu, nimejazwa nguvu na roho ya Mwenyezi-Mungu; nimejaliwa kujua haki na kuwa na uwezo niwatangazie wazawa wa Yakobo kosa lao, niwaambie Waisraeli dhambi yao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Lakini kwa upande wangu, nimejazwa nguvu na roho ya Mwenyezi-Mungu; nimejaliwa kujua haki na kuwa na uwezo niwatangazie wazawa wa Yakobo kosa lao, niwaambie Waisraeli dhambi yao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Lakini mimi nimejazwa nguvu, nimejazwa Roho wa Mwenyezi Mungu, haki na uweza, kumtangazia Yakobo kosa lake, na Israeli dhambi yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Lakini kuhusu mimi, nimejazwa nguvu, nimejazwa Roho wa bwana, haki na uweza, kumtangazia Yakobo kosa lake, na Israeli dhambi yake. Tazama sura |