Mika 2:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Wanawake wa watu wangu mnawatupa nje ya nyumba zao nzuri; watoto wao wachanga mnawanyang'anya utukufu wangu milele. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Mnawafukuza wake za watu wangu kutoka nyumba zao nzuri; watoto wao mmewaondolea fahari yangu milele. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Mnawafukuza wake za watu wangu kutoka nyumba zao nzuri; watoto wao mmewaondolea fahari yangu milele. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Mnawafukuza wake za watu wangu kutoka nyumba zao nzuri; watoto wao mmewaondolea fahari yangu milele. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Unawahamisha wanawake wa watu wangu kutoka nyumba zao za kupendeza. Unaondoa baraka yangu kwa watoto wao milele. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Unawahamisha wanawake wa watu wangu kutoka kwenye nyumba zao za kupendeza. Unaondoa baraka yangu kwa watoto wao milele. Tazama sura |