Mika 1:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Sikilizeni, enyi watu wa kabila zote; sikiliza, Ee dunia, na vyote vilivyomo; Bwana MUNGU na ashuhudie juu yenu, yeye Bwana kutoka hekalu lake takatifu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Sikilizeni enyi watu wote; sikiliza ewe dunia na vyote vilivyomo. Mwenyezi-Mungu anakuja kuwashtaki, Bwana anena kutoka hekalu lake takatifu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Sikilizeni enyi watu wote; sikiliza ewe dunia na vyote vilivyomo. Mwenyezi-Mungu anakuja kuwashtaki, Bwana anena kutoka hekalu lake takatifu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Sikilizeni enyi watu wote; sikiliza ewe dunia na vyote vilivyomo. Mwenyezi-Mungu anakuja kuwashtaki, Bwana anena kutoka hekalu lake takatifu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Sikieni, enyi mataifa, enyi nyote, sikilizeni, ee dunia na wote mliomo, ili Bwana Mungu Mwenyezi ashuhudie dhidi yenu, Bwana kutoka Hekalu lake takatifu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Sikieni, enyi mataifa, enyi nyote, sikilizeni, ee dunia na wote mliomo ndani yake, ili bwana Mwenyezi ashuhudie dhidi yenu, Bwana kutoka Hekalu lake takatifu. Tazama sura |