Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mika 1:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

14 Kwa hiyo mtaipa Moresheth-Gathi zawadi ya kuagia; Nyumba za Akzibu zitakuwa kijito kidanganyacho wafalme wa Israeli.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Hivyo, mnapaswa kuagana na kuwaacha wakazi wa Morasheth-gathi. Nao mji wa Akzibu hautawasaidia wafalme wa Israeli,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Hivyo, mnapaswa kuagana na kuwaacha wakazi wa Morasheth-gathi. Nao mji wa Akzibu hautawasaidia wafalme wa Israeli,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Hivyo, mnapaswa kuagana na kuwaacha wakazi wa Morasheth-gathi. Nao mji wa Akzibu hautawasaidia wafalme wa Israeli,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Kwa hiyo utaipa Moresheth-Gathi zawadi za kuagana. Mji wa Akzibu utaonesha wazi udanganyifu kwa wafalme wa Israeli.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Kwa hiyo utaipa Moresheth-Gathi zawadi za kuagana. Mji wa Akzibu utaonyesha wazi udanganyifu kwa wafalme wa Israeli.

Tazama sura Nakili




Mika 1:14
10 Marejeleo ya Msalaba  

Akapiga Moabu, akawapima kwa kamba wakiwa wamelazwa chini; akapima kamba mbili za kuuawa, na kamba moja nzima ya kuhifadhi hai. Wamoabi wakawa watumishi wa Daudi, wakaleta zawadi.


Ahazi akatwaa fedha na dhahabu iliyoonekana katika nyumba ya BWANA, na katika hazina za nyumba ya mfalme, akazipeleka kwa mfalme wa Ashuru kuwa zawadi.


Hakika binadamu ni ubatili, Na wenye cheo ni uongo, Katika mizani huinuka; Wote pamoja ni hafifu kuliko ubatili.


Ufunuo juu ya wanyama wa Negebu. Katikati ya nchi ya taabu na dhiki, Ambayo hutoka huko simba jike na simba angurumaye, Nyoka na joka la moto arukaye, Huchukua mali zao mabegani mwa punda wachanga, Na hazina zao juu ya nundu za ngamia Waende kwa watu ambao hawatawafaa kitu.


Mbona maumivu yangu ni ya daima, na jeraha langu halina dawa, linakataa kuponywa? Je! Yamkini wewe utakuwa kwangu kama kijito kidanganyacho, na kama maji yasiyodumu?


Keila, Akizibu na Maresha; miji tisa, pamoja na vijiji vyake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo