Mika 1:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Maana wakazi wa Marothi wanasubiri kwa hamu kupata mema; Lakini maangamizi yameshuka toka kwa BWANA, Yamefika katika lango la Yerusalemu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Wakazi wa Marothi wanangojea msaada kwa hamu kubwa, lakini maangamizi yaja kutoka kwa Mwenyezi-Mungu karibu kabisa na lango la Yerusalemu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Wakazi wa Marothi wanangojea msaada kwa hamu kubwa, lakini maangamizi yaja kutoka kwa Mwenyezi-Mungu karibu kabisa na lango la Yerusalemu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Wakazi wa Marothi wanangojea msaada kwa hamu kubwa, lakini maangamizi yaja kutoka kwa Mwenyezi-Mungu karibu kabisa na lango la Yerusalemu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Wale wanaoishi Marothi wanagaagaa kwa maumivu wakingoja msaada, kwa sababu maangamizi yamekuja kutoka kwa Mwenyezi Mungu, hata katika lango la Yerusalemu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Wale waishio Marothi wanagaagaa kwa maumivu wakingoja msaada, kwa sababu maangamizi yamekuja kutoka kwa bwana, hata katika lango la Yerusalemu. Tazama sura |