Mhubiri 9:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Kwa kuwa liko tumaini kwa yule aliyeambatana na wote walio hai; maana ni afadhali mbwa aliye hai kuliko simba aliyekufa; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Lakini anayeambatana na walio hai analo bado tumaini, afadhali mbwa hai kuliko simba mfu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Lakini anayeambatana na walio hai analo bado tumaini, afadhali mbwa hai kuliko simba mfu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Lakini anayeambatana na walio hai analo bado tumaini, afadhali mbwa hai kuliko simba mfu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Yeyote aliye miongoni mwa walio hai analo tumaini, hata mbwa hai ni bora kuliko simba aliyekufa! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Yeyote aliye miongoni mwa walio hai analo tumaini, hata mbwa hai ni bora kuliko simba aliyekufa! Tazama sura |