Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mhubiri 9:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

14 Palikuwa na mji mdogo, uliokuwa na watu wachache ndani yake; akaja mfalme mkuu juu yake, akauhusuru, akajenga ngome kubwa ili kuupiga.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Palikuwa na mji mmoja mdogo wenye wakazi wachache. Mfalme mmoja mwenye nguvu akafika, akauzingira na kujiandaa kuushambulia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Palikuwa na mji mmoja mdogo wenye wakazi wachache. Mfalme mmoja mwenye nguvu akafika, akauzingira na kujiandaa kuushambulia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Palikuwa na mji mmoja mdogo wenye wakazi wachache. Mfalme mmoja mwenye nguvu akafika, akauzingira na kujiandaa kuushambulia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Palikuwa na mji mdogo uliokuwa na watu wachache ndani yake. Mfalme mwenye nguvu akainuka dhidi yake, akauzingira kwa jeshi kubwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Palikuwa na mji mdogo uliokuwa na watu wachache ndani yake. Mfalme mwenye nguvu akainuka dhidi yake, akauzunguka akaweka jeshi kubwa dhidi yake.

Tazama sura Nakili




Mhubiri 9:14
6 Marejeleo ya Msalaba  

Ikawa baada ya hayo, Ben-hadadi mfalme wa Shamu akakusanya majeshi yake yote, akakwea akauhusuru Samaria.


Pia nimeona mfano huu wa hekima chini ya jua, nao ni kama hivi, tena kwangu mimi ulionekana kuwa neno kubwa.


Kwa kuwa siku zitakuja, adui zako watakapokujengea boma, likuzunguke; watakuzingira na kukuhusuru pande zote;


Ila miti uijuayo si miti ya kuliwa iangamize, na kuitema; ukajenge maburuji juu ya mji ufanyao vita juu yako, hata uanguke.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo