Mhubiri 7:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Hekima ni nguvu zake mwenye hekima, Zaidi ya wakuu kumi waliomo mjini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Hekima humfanya mwenye busara kuwa na nguvu zaidi kuliko watawala kumi mjini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Hekima humfanya mwenye busara kuwa na nguvu zaidi kuliko watawala kumi mjini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Hekima humfanya mwenye busara kuwa na nguvu zaidi kuliko watawala kumi mjini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Hekima humfanya yeye aliye nayo kuwa na uwezo kuliko watawala kumi katika mji. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Hekima humfanya yeye aliye nayo kuwa na uwezo zaidi kuliko watawala kumi katika mji. Tazama sura |