Mhubiri 7:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Usiwe na haki kupita kiasi; Wala usijiongezee hekima mno; Kwa nini kujiangamiza mwenyewe? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Basi, usiwe mwadilifu sana, wala usiwe mwenye hekima mno! Ya nini kujiangamiza wewe mwenyewe? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Basi, usiwe mwadilifu sana, wala usiwe mwenye hekima mno! Ya nini kujiangamiza wewe mwenyewe? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Basi, usiwe mwadilifu sana, wala usiwe mwenye hekima mno! Ya nini kujiangamiza wewe mwenyewe? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Usiwe mwenye haki kupita kiasi, wala usiwe na hekima kupita kiasi: kwa nini kujiangamiza mwenyewe? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Usiwe mwenye haki kupita kiasi, wala usiwe na hekima kupita kiasi: kwa nini kujiangamiza mwenyewe? Tazama sura |