Mhubiri 6:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Juhudi zote za binadamu ni kwa kinywa chake, Lakini hamu yake haitosheleki. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Kazi yote ya mtu ni kwa ajili ya kupata chakula, lakini tamaa yake ya kula haitoshelezwi kamwe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Kazi yote ya mtu ni kwa ajili ya kupata chakula, lakini tamaa yake ya kula haitoshelezwi kamwe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Kazi yote ya mtu ni kwa ajili ya kupata chakula, lakini tamaa yake ya kula haitoshelezwi kamwe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Juhudi zote za binadamu ni kwa ajili ya kinywa chake, hata hivyo hamu yake kamwe haitoshelezwi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Juhudi zote za binadamu ni kwa ajili ya kinywa chake, hata hivyo hamu yake kamwe haitoshelezwi. Tazama sura |