Mhubiri 6:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 yaani, hiyo huja katika ubatili, na huenda gizani, nalo jina lake limefunikwa giza; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Mtoto mfu hafaidiki chochote kwa kuzaliwa; yeye hutokomea gizani, akasahaulika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Mtoto mfu hafaidiki chochote kwa kuzaliwa; yeye hutokomea gizani, akasahaulika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Mtoto mfu hafaidiki chochote kwa kuzaliwa; yeye hutokomea gizani, akasahaulika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Kuzaliwa kwake hakuna maana, huondokea gizani na gizani jina lake hufunikwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Kuzaliwa kwake hakuna maana, huondokea gizani na gizani jina lake hufunikwa. Tazama sura |