Mhubiri 5:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Maana ndivyo ilivyo katika habari za wingi wa ndoto, na ubatili, na maneno mengi; walakini wewe umche Mungu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Ndoto zikizidi, kuna maangamizi na maneno huwa mengi. Jambo la maana ni kumcha Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Ndoto zikizidi, kuna maangamizi na maneno huwa mengi. Jambo la maana ni kumcha Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Ndoto zikizidi, kuna maangamizi na maneno huwa mengi. Jambo la maana ni kumcha Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Kuota ndoto kwingi na maneno mengi ni ubatili. Kwa hiyo mche Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Kuota ndoto kwingi na maneno mengi ni ubatili. Kwa hiyo simama katika kicho cha Mungu. Tazama sura |