Mhubiri 5:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Apendaye fedha hatashiba fedha, Wala apendaye wingi hatashiba nyongeza. Hayo pia ni ubatili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Apendaye fedha hatatosheka na fedha; wala atamaniye mali hata akiipata hatatosheka. Hilo nalo ni bure kabisa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Apendaye fedha hatatosheka na fedha; wala atamaniye mali hata akiipata hatatosheka. Hilo nalo ni bure kabisa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Apendaye fedha hatatosheka na fedha; wala atamaniye mali hata akiipata hatatosheka. Hilo nalo ni bure kabisa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Yeyote apendaye fedha kamwe hatosheki na fedha; yeyote apendaye utajiri kamwe hatosheki na kipato chake. Hili nalo pia ni ubatili. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Yeyote apendaye fedha kamwe hatosheki na fedha; yeyote apendaye utajiri kamwe hatosheki na kipato chake. Hili nalo pia ni ubatili. Tazama sura |