Mhubiri 4:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu ambaye hajui tena kupokea maonyo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Afadhali kijana maskini mwenye hekima kuliko mfalme mzee mpumbavu, ambaye hasikilizi shauri jema; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Afadhali kijana maskini mwenye hekima kuliko mfalme mzee mpumbavu, ambaye hasikilizi shauri jema; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Afadhali kijana maskini mwenye hekima kuliko mfalme mzee mpumbavu, ambaye hasikilizi shauri jema; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Afadhali kijana maskini mwenye hekima kuliko mfalme mzee mpumbavu ambaye hajui tena kupokea maonyo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Afadhali kijana maskini mwenye hekima kuliko mfalme mzee mpumbavu ambaye hajui tena kupokea maonyo. Tazama sura |