Mhubiri 4:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Tena, wawili wakilala pamoja, hapo watapata moto; lakini mmoja aliye peke yake tu awezaje kupata moto? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Hali kadhalika, wawili wakilala pamoja watapata joto; lakini mtu akiwa peke yake atajipatiaje joto? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Hali kadhalika, wawili wakilala pamoja watapata joto; lakini mtu akiwa peke yake atajipatiaje joto? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Hali kadhalika, wawili wakilala pamoja watapata joto; lakini mtu akiwa peke yake atajipatiaje joto? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Pia, kama wawili wakilala pamoja watapashana joto. Lakini ni vipi mtu aweza kujipasha joto mwenyewe? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Pia, kama wawili wakilala pamoja watapashana joto. Lakini ni vipi mtu aweza kujipasha joto mwenyewe? Tazama sura |