Mhubiri 3:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Nimeiona taabu ambayo Mungu amewapa wanadamu, ili kutaabika ndani yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Mimi nimeiona kazi ambayo binadamu amepewa na Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Mimi nimeiona kazi ambayo binadamu amepewa na Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Mimi nimeiona kazi ambayo binadamu amepewa na Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Nimeona mzigo Mungu alioweka juu ya wanadamu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Nimeona mzigo Mungu alioweka juu ya wanadamu. Tazama sura |