Mhubiri 2:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 Kwa maana ni nani awezaye kula au kujiburudisha kuliko mimi? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 maana usipojaliwa na Mungu, huwezi kupata chakula wala kujifurahisha. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 maana usipojaliwa na Mungu, huwezi kupata chakula wala kujifurahisha. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 maana usipojaliwa na Mungu, huwezi kupata chakula wala kujifurahisha. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 kwa sababu pasipo yeye, ni nani awezaye kula na kufurahi? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 kwa sababu pasipo yeye, ni nani awezaye kula na kufurahi? Tazama sura |