Mhubiri 10:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Mimi nimeona watumwa wamepanda farasi, na wakuu wakienda kwa miguu juu ya nchi kama watumwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Nimeona watumwa wanapanda farasi, na wakuu wanatembea kwa miguu kama watumwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Nimeona watumwa wanapanda farasi, na wakuu wanatembea kwa miguu kama watumwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Nimeona watumwa wanapanda farasi, na wakuu wanatembea kwa miguu kama watumwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Mimi nimeona watumwa wamepanda farasi, wakati wakuu wakitembea kwa miguu kama watumwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Mimi nimeona watumwa wamepanda farasi, wakati wakuu wakitembea kwa miguu kama watumwa. Tazama sura |